Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemav, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akifafanua kuhusu Kikokotoo wakati akichangia mjadala wa makadirio ya mapato na matumizi ya bajeti ya serikali kwa mwaka 2022/2023 Jijini Dodoma.
Na. Mwandishi wetu, Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako amefafanua kuwa kikokotoo kipya kinachotarajiwa kuanza tarehe 1 Julai mwaka huu, 2022, faida yake kubwa ni kuweka Uwiano na Usawa wa Mafao baina ya Wastaafu, ambapo w...
Read More