*Apiga Marufuku Biashara ya Kangomba, Makato ya Unyaufu
[caption id="attachment_12359" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wadau wa zao la Korosho kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu mjini Dodoma Septemba 5, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezitaka Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi pamoja na Bodi ya Korosho Tanzania zifanye tathimini ya maandalizi ya msimu ujao kwa wakati na zimpatie taarifa mara moja.
Waziri Mkuu ametoa agizo hilo jana usiku (Ju...
Read More