[caption id="attachment_18523" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (wa pili kushoto) pamoja na Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Mhe. Juliana Shonza (katikati) wakiwa katika kikao na baadhi ya Wamiliki wa Majumba ya Kuoneshea Sinema wakati walipokutana na Wamiliki wa majengo hayo na kujadiliana masuala mbalimbali yanayohusu filamu na uonyeshaji wake 11 Oktoba, 2017 Jijini Dar es Salaam.[/caption]
Na. Benedict Liwenga-WHUSM
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. D...
Read More