Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Prof. Ole Gabriel Akabidhiwa Rasmi Ofisi Wizara ya Viwanda.
Oct 31, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="" align="aligncenter" width="900"] Aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji ambaye amehamishiwa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof Adolph Mkenda akisaini kitabu cha wageni wakati wa makabidhiano ya Ofisi.[/caption]   [caption id="attachment_21420" align="aligncenter" width="900"] Aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji ambaye amehamishiwa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof Adolph Mkenda akimuonesha Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Prof. Elisante Ole Gabriel kitabu kilichoainisha baadhi ya changamoto za kibiashara hapa nchini wakati wa makibidhiano ya Ofisi.[/caption] [caption id="attachment_21418" align="aligncenter" width="900"] Aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji ambaye amehamishiwa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof Adolph Mkenda akimuonesha Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Prof. Elisante Ole Gabriel moja ya kiatu bandia kilikichoingizwa nchini kinyemela.[/caption] [caption id="attachment_21425" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Prof. Elisante Ole Gabriel akizungumza na watumishi wa Wizara hiyo mara baada ya kukabidhiwa Ofisi. (Picha na Beatrice Lyimo-Dodoma)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi