Na: Tiganya Vincent, RS TABORA
SERIKALI ya Mkoa wa Tabora imeziagiza Halmashauri zote kuanza upandaji wa miti ya matunda 6,000 kila moja katika Taasisi na Shule na miti isiyo ya matunda ili kutekeleza agizo la Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Agizo hilo limetolewa jana na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri wakati akizindua awamu ya pili ya upandaji miti kwa Wilaya ya Igunga ambapo miti 280 ilipandwa.
Mwanri alisema kuwa miti hiyo ni sehemu ya miti milioni na laki tano (1,500,000) kwa kila Halmashauri kila mwaka iliyoagizw...
Read More