Huduma Zinazotolewa na Hospitali ya Rufaa ya Taaluma na Tiba (Mamc) Iliyoko Mloganzila
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto anayo furaha kuwatangazia wananchi wote na wadau wote wa Sekta ya Afya kuwa, Hospitali ya Rufaa ya Taaluma na Tiba (MAMC) ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) iliyoko Mloganzila, jijini Dar es Salaam, imeanza kupokea wagonjwa waliopewa rufaa kwa ajili ya matibabu ya magonjwa ya ndani (internal medicine).
Hii inafuatia kufunguliwa rasmi kwa Hospitali hiyo na...
Read More