Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Mpina Aagiza Mkataba wa Ovenco Kuvunjwa na Kuundwa kwa Mkataba Mpya.
Dec 24, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_25581" align="aligncenter" width="750"] Ng’ombe aina ya Borani wanaomilikiwa na muwekezaji kampuni ya Overland katika Ranchi ya Mzeri , Wilayani Handeni Mkoani Tanga.[/caption]   [caption id="attachment_25582" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Mifugo na Uvuvi. Mhe. Luhaga Mpina(katikati) akiongea vyombo vya habari baada ya ziara ya ukaguzi wa baadhi ya vitalu katika Ranchi ya Mzeri iyopo Wilayani Handeni Mkoani Tanga, kushoto kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Handeni Godwin Gondwe, na kulia ni mkurugenzi wa kampuni ya Overland Bw. Faizal Edha.[/caption] [caption id="attachment_25583" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina (katikati) na Mkuu wa Wilaya ya Handeni kulia Godwin Gondwe pamoja na wataalam kutoka Wizarani na Mkoani Tanga wakiwa katika zoezi la kukagua baadhi ya vitalu vilivyopo katika Ranchi ya Mzeri Wilayani Handeni.[/caption] [caption id="attachment_25584" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina akimkimbiza Ng’ombe aina ya Borani katika Ranchi ya Mzeri alipokuwa katika zoezi la ukaguzi wa vitalu .[/caption] [caption id="attachment_25585" align="aligncenter" width="750"] Aliyesinama wa pili kulia ni Waziri wa Mifugo na uvuvi Luhana Mpina, kushoto kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Handeni Godwin Gondwe wakiangalia sehemu ya kunyweshea ng’ombe maji mkatika ranchi ya Mzeri wilayani Handeni.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi