[caption id="attachment_27917" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) Mhe. Selemani Jafo akifungua Mkutano wa Kazi wa Wajumbe wa Kamati za Tume ya Utumishi wa Walimu unaofanyika katika chuo cha Mipango,Mjini Dodoma.[/caption]
Frank Mvungi- MAELEZO, Dodoma
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Selemani Jafo amewataka Makatibu Wasaidizi wa Tume ya Utumishi wa Walimu nchini kutekeleza majukumu yao kwa weledi wakizingatia sheria...
Read More