Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Magazetini Leo Januari 26, 2018
Jan 26, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_27847" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Kilimo wa Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China Dkt. Qu Dongyu akichangia hoja wakati wa kikao cha majadiliano na ujumbe wa Serikali ya Tanzania ukiongozwa na Waziri wa Kilimo Dkt. Charles Tizeba (hayupo pichani) kuhusu ushirikiano katika sekta ya hiyo leo jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Balozi wa China hapa nchini Mhe. Mhe. Wang Ke na Mwakilishi wa Masuala ya Uchumi na Biashara wa Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China nchini Lin Zhiyong.[/caption] [caption id="attachment_27846" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Kilimo wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Charles Tizeba akichangia hoja wakati wa kikao cha majadiliano kuhusu ushirikiano katika sekta ya kilimo na ujumbe kutoka Serikali ya China ukiongozwa na Naibu Waziri wa Kilimo wa Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China Dkt. Qu Dongyu (hayupo pichani) leo Jijini Dar es Salaam. Katikati ni Naibu Waziri wa Kilimo Dkt. Mary Mwanjelwa na Mchumi Mkuu wa Wizara ya Kilimo Bibi. Jacqeline Mboya[/caption] [caption id="attachment_27845" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Kilimo wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Charles Tizeba akizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya kikao baina yake na Naibu Waziri wa Kilimo wa Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China Dkt. Qu Dongyu (kushoto) leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Naibu Waziri wa Kilimo wa Tanzania Dkt. Mary Mwanjelwa[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi