[caption id="attachment_27220" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi Msaidizi, Mipango na Bajeti -Mahakama ya Tanzania, Bw. Erasmus Uisso akiongea jambo na Washiriki katika Mafunzo hayo.[/caption]
Na Mary Gwera, Mahakama
Mahakama ya Tanzania imedhamiria kufanya malipo yote ya huduma zake na ukusanyaji wa mapato kielektroniki ili kuendana na kasi ya mabadiliko ya Teknolojia na kuboresha huduma kwa manufaa ya wananchi.
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Msaidizi, Mipango na Bajeti-Mahakama ya Tanzania, Bw. Erasmus Uisso Januari 16, alipokuwa a...
Read More