Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio Mbalimbali Bungeni Leo Aprili 5, 2018.
Apr 05, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_29831" align="aligncenter" width="1000"] Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akimueleza jambo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Mkuchika.[/caption] [caption id="attachment_29834" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba akijibu hoja mbalimbali za wabunge wakati wa Mkutano wa Kumi na Moja wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Leo Mjini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_29832" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo (Chini kushoto) akiteta jambo na Mbunge wa Urambo Mhe. Margaret Sitta (Chini Kulia) na Juu Kulia ni Naibu Waziri Wizara ya Viwanda, Biashara ba Uwekezaji Mhe. Mhandisi Stella Manyanya akimueleza jambo Mbunge wa Mbozi Mhe. Pascal Haonga wakati wa Mkutano wa Kumi na Moja wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Leo Mjini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_29833" align="aligncenter" width="1000"] Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiongoza Mkutano wa Kumi na Moja wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Leo Mjini Dodoma.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi