[caption id="attachment_31107" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, akizungumza wakati wa kufungua Mkutano wa Uchumi ulioandaliwa na Taasisi ya Utafiti wa Sera za Kiuchumi na Kijamii(ESRF) wakishirikiana na Ubalozi wa Sweden nchini lengo ikiwa kujadili masuala mbalimbali ya ukuzaji uchumi.Mkutano huo unafanyika leo,jijini Dar es Salaam[/caption] [caption id="attachment_31108" align="aligncenter" width="1000"] Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti wa Sera za Kiuchumi na Kijamii (ESRF),Dk. Tausi Kida, akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Uchumi ulioandaliwa na Taasisi hiyo wakishirikiana na Ubalozi wa Sweden nchini lengo ikiwa kujadili masuala mbalimbali ya ukuzaji uchumi.Mkutano huo unafanyika leo,jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_31109" align="aligncenter" width="1000"] Balozi wa Sweden nchini, Katarina Rangnitt, akizungumza wakati wa kufungua Mkutano wa Uchumi ulioandaliwa na Taasisi ya Utafiti wa Sera za Kiuchumi na Kijamii(ESRF) wakishirikiana na Ubalozi wa Sweden nchini lengo ikiwa kujadili masuala mbalimbali ya ukuzaji uchumi.Mkutano huo unafanyika leo,jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_31110" align="aligncenter" width="1000"] Profesa Joseph Stiglitz akitoa mada katika Mkutano wa Uchumi ulioandaliwa na Taasisi ya Utafiti wa Sera za Kiuchumi na Kijamii(ESRF) wakishirikiana na Ubalozi wa Sweden nchini lengo ikiwa kujadili masuala mbalimbali ya ukuzaji uchumi.Mkutano huo unafanyika leo,jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_31111" align="aligncenter" width="1000"] Washiriki wa Mkutano wa Uchumi ulioandaliwa na Taasisi ya Utafiti wa Sera za Kiuchumi na Kijamii(ESRF) wakishirikiana na Ubalozi wa Sweden nchini, wakifuatilia moja ya mada zilizokuwa zikiwasilishwa wakati wa mkutano huo unaofanyika leo jijini Dar es Salaam. .Picha na Abubakari Akida[/caption]