[caption id="attachment_31151" align="aligncenter" width="1000"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu maswali bungeni Jijini Dodoma Mei 3, 2018.[/caption] [caption id="attachment_31152" align="aligncenter" width="1000"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Chemba, Juma Nkamia Bungeni Jijini Dodoma Mei 3, 2018.[/caption] [caption id="attachment_31153" align="aligncenter" width="1000"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Kilombero Peter Lijualikali kwenye viwanja vya Bunge Jijini Dodoma Mei 3, 2018.[/caption] [caption id="attachment_31154" align="aligncenter" width="1000"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum, Lucy Mayenga kwenye viwanja vya Bunge Jijini Dodoma Mei 3, 2018.[/caption] [caption id="attachment_31155" align="aligncenter" width="1000"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wafanyakazi wa Shirika la Utangazaji la Tanzania (TBC), kwenye viwanja vya Bunge Jijini Dodoma Mei 3, 2018, kutoka kushoto ni Godfrey Nago, Abdulhamid Nzota na Mtumishi wa Wizara ya Ujenzi, Stanford Matovolwa.[/caption] [caption id="attachment_31156" align="aligncenter" width="1000"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Sumve, Richard Ndasa kwenye viwanja vya Bunge Jijini Dodoma Mei 3, 2018.[/caption]