Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Azzan Mussa Zungu akiongoza kikao cha ishirini na mbili cha Mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Wizara ya Mifugo na Uvivu Mhe.Abdallah Ulega akijibu maswali mbalimbali ya Wabunge wakati wa kikao cha ishirini na mbili cha Mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Kilimo Mhe.Dkt.Mary Mwanjelwa akijibu hoja mbalimbali za Wabunge wakati wa kikao cha ishirini na mbili cha Mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dkt.Ashatu Kijaji akijibu hoja mbalimbali za Wabunge wakati wa kikao cha ishirini na mbili cha Mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma.
Mbunge wa Namtumbo Mhe.Mhandisi Edwin Ngonyani akiuliza swali wakati wa kikao cha ishirini na mbili cha Mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma.