Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Kangi Lugola, Mhandisi Kamwelwe Watembelea Majeruhi wa Ajali Mbeya
Jul 05, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_33330" align="aligncenter" width="750"] Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya, Dkt. Louis Chomboko akitoa taarifa kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kulia) na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isaac Kamwelwe (katikati) juu ya hali za majeruhi wa ajali waliolazwa katika Hospitali ya Teule Mbalizi, ajali hiyo ilitokea hivi karibuni katika eneo la Mlima Iwambi jijini Mbeya.[/caption] [caption id="attachment_33331" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kulia), akimjulia hali mmoja wa majeruhi aliyelazwa katika Hospitali ya Rufaa Ifisi, ajali hiyo iliyotokea hivi karibuni, katika eneo la Mlima Iwambi,jijini Mbeya.[/caption] [caption id="attachment_33332" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isaac Kamwelwe (kushoto) na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (katikati), wakimjulia hali mmoja wa majeruhi aliyelazwa katika Hospitali Teule ya Mbalizi, ajali hiyo ilitokea hivi karibuni katika eneo la Mlima Iwambi jijini Mbeya.[/caption] [caption id="attachment_33333" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola akizungumza na wananchi katika eneo la Mlima Iwambi jijini Mbeya ambako hivi karibuni kumetokea ajali iliyosababisha vifo na majeruhi.[/caption] [caption id="attachment_33334" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola akisalimiana na watumishi wa afya baada ya kuwasili Hospitali ya Teule Mbalizi kuwajulia hali majeruhi wa ajali iliyotokea katika eneo la Mlima Iwambi jijini Mbeya. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi