[caption id="attachment_35399" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani, akisalimiana na wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Mara, alipowasili katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Septemba 18, 2018 muda mfupi kabla ya kuanza ziara ya kazi mkoani humo kukagua utekelezaji wa miradi ya umeme.[/caption]
Na Veronica Simba – Mara
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amesema Serikali kupitia Wizara anayoisimamia, imejipanga kuhakikisha wawekezaji wote katika sekta ya madini wanatumia umeme katika shughuli zao...
Read More