[caption id="attachment_35304" align="aligncenter" width="900"] Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akisisistiza umuhimu wa Bodi mpya ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) kusimamia rasilimali fedha kwa kutekeleza miradi ya kimkakati katika mfuko huo wakati akizindua Bodi hiyo leo Jijini Dodoma.[/caption]
Frank Mvungi- MAELEZO
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama amezindua Bodi mp...
Read More