[caption id="attachment_35655" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu akitoa hotuba ya ufunguzi wa Kongamano la Mafuta na Gesi, jijini Dar es Salaam, Septemba 24, 2018. Alitoa hotuba hiyo kwa niaba ya Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani (hayupo pichani).[/caption]
Na Veronica Simba – DAR ES SALAAM
Kongamano la pili la wadau wa mafuta na gesi limefunguliwa rasmi jijini Dar es Salaam, leo Septemba 24, 2018, ambapo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, January Makamba alimwakilisha Waz...
Read More