[caption id="attachment_35706" align="aligncenter" width="750"] Muonekano wa jengo la Mahakama Kuu, Kanda tarajiwa ya Kigoma lililopo katika ujenzi, Mhe. Jaji Mfawidhi Kanda ya Kigoma alikagua maendeleo ya ujenzi wa jengo hilo linalotarajiwa kukamilika, Juni, 2019.[/caption]
Na Festo Sanga, Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kigoma
Jaji Mfawidhi Mahakama Kuu, Kanda ya Tabora, Mhe. Salvatory Bongole amefanya ziara ya kikazi kwa kutembelea na kukagua shughuli mbalimbali za Mahakama mkoani Kigoma pamoja na ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa Mahakama Kuu,...
Read More