Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Dkt. Mwinyi Azungumza na Balozi wa India Nchini Tanzania
Dec 22, 2023
Rais Dkt. Mwinyi Azungumza na Balozi wa India Nchini Tanzania
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa India Nchini Tanzania, Mhe. Binaya Srikanta Pradhan, alipowasili Ikulu jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini, mazungumzo hayo yalifanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 22-12-2023.
Na Ikulu - Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Balozi wa India nchini Tanzania, Mhe. Binaya Srikanta Pradhan (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kuagana baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 22-12-2023.

 

 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi maalum ya mlango wa Zanzibar mgeni wake Balozi wa India nchini Tanzania, Mhe.Binaya Srikanta Pradhan, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 22-12-2023. 

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi