Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Azindua Kamati ya Uratibu wa VVU/UKIMWI na Magonjwa Yasiyoambukiza Mahali pa Kazi
Nov 22, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_38644" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Joseph Malongo akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Kamati ya uratibu VVU/UKIMWI na magonjwa yasiyoambukizwa mahali pa kazi, mara baada ya kuzindua kamati hiyo yenye wajumbe kutoka Idara na Vitengo mbalimbali. Uzinduzi huo umefanyika hii leo katika Ofisi ya Makamu wa Rais Jengo la Mtaa wa Makole, Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_38646" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Joseph Malongo akimsikiliza Bi. Bi. Everada Ndugumchana kutoa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora mara baada ya kuzindua Kamati hiyo leo. Wengine katika picha ni wajumbe wanaowakilisha Idara na Vitengo vya Ofisi ya Makamu wa Rais.[/caption] [caption id="attachment_38647" align="aligncenter" width="750"] Mjumbe kutoka Kamati ya kuratibu VVU/UKIMWI mahali pa kazi kutoa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora Bi. Everada Ndugumchana (katikati) akifafanua jambo katika kikao cha uzinduzi wa Kamati hiyo. Kulia ni Bi. MwanaAmani Mtoo kutoka ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora na Bw. Samuel Mwashambwa Kaimu Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu kutoka Ofisi ya Makamu.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi