[caption id="attachment_39837" align="aligncenter" width="800"] Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiongozana na Naibu Waziri Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza na Katibu wa Kikosi Kazi cha Taifa cha Kuratibu Mpango wa Serikali Kuhamia Dodoma, Bw. Meshach Bandawe wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wa ofisi za Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo katika Mji wa Serikali Ihumwa jijini Dodoma.[/caption]
[caption id="attachment_39834" align="aligncenter" width="800"] Naibu Waziri Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa...
Read More