[caption id="attachment_39837" align="aligncenter" width="800"] Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiongozana na Naibu Waziri Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza na Katibu wa Kikosi Kazi cha Taifa cha Kuratibu Mpango wa Serikali Kuhamia Dodoma, Bw. Meshach Bandawe wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wa ofisi za Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo katika Mji wa Serikali Ihumwa jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_39834" align="aligncenter" width="800"] Naibu Waziri Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza akipata maelekezo ya ramani ya ujenzi wa jengo la Wizara yake kutoka kwa Mhandisi Hagai Mziray wa Mzinga Holdings ltd wakati alipotembelea kujionea maendeleo ya Ujenzi Ihumwa Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_39835" align="aligncenter" width="800"] Naibu Waziri Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza akikagua maendeleo ya ujenzi wa ofisi ya wizara yake unaoendelea katika mji wa Serikali Ihumwa Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_39836" align="aligncenter" width="800"] Naibu Waziri Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza akikagua maendeleo ya ujenzi wa ofisi ya wizara yake unaoendelea katika mji wa Serikali Ihumwa Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_39838" align="aligncenter" width="800"] Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiongozana na Naibu Waziri Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza na Katibu wa Kikosi Kazi cha Taifa cha Kuratibu Mpango wa Serikali Kuhamia Dodoma, Bw. Meshach Bandawe wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wa ofisi za Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo katika Mji wa Serikali Ihumwa jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_39839" align="aligncenter" width="800"] Naibu Waziri Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza akipata maelezo ya utangulizi wa maendeleo ya ujenzi wa ofisi ya Wizara yake kutoka kwa Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu wa Wizara hiyo Bw.Orest Mushi leo Ihumwa Jijini Dodoma[/caption] [caption id="attachment_39840" align="aligncenter" width="800"] Naibu Waziri Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza akikagua maendeleo ya ujenzi wa ofisi ya wizara yake unaoendelea katika mji wa Serikali Ihumwa Jijini Dodoma.[/caption]