[caption id="attachment_39350" align="aligncenter" width="750"] Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam Mhe. Daniel Chongolo[/caption]
Na. Frank Mvungi
Wakuu wa Wilaya za Kinondoni, Daniel Chongolo na Wilaya ya Uyui, Gift Msuya kwa pamoja wamepongeza Juhudi za Serikali ya Awamu ya Tano katika kipindi cha mwaka 2018 ambazo zilizolenga kuboresha huduma za jamii na kuinua maisha ya wananchi.
Akizungumza leo katika mahojiano maalum na Idara ya Habari-MAELEZO, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Daniel Chongolo, amesema kuwa katika kipindi...
Read More