Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Irugwa wilayani Ukerewe leo Oktoba 17, 2022, Leokadia Vedastus wakati alipokagua madarasa sita yaliyojengwa kwa Shilingi milioni 120 zilizotolewa na Serikali kuu ambazo zilibaki na zikatumika kujenga matundu ya vyoo, mabafu na mfumo wa kuvuna maji ya mvua na umeme wa sola, pia zilitumika kununua madawati. Kulia ni Diwani wa Kata ya Irugwa, Joseph Sabato wote wawili walishirIkiana kusimamia ujenzi huo ambao ulimvutia sana Mheshimiwa Waziri Mkuu hadi akawazawadia Shiling...
Read More