Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. John Jingu akipokelewa na kupata taarifa kutoka kwa mmoja wa walezi wa Makao hayo, Sister Euphrasia Julius wakati alipotembelea Kijiji cha Matumaini kinacholea watoto jijini Dodoma Agosti 23, 2023.
Read More