Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Dk.Shein Aondoka Nchini Leo
Jul 06, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_5749" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi pamoja Viongozi mbali mbali alipokuwa akiondoka nchini leo na Ujumbe wake kuelekea Nchini Uingereza kwa ziara maalum ya wiki mbili.[/caption] [caption id="attachment_5750" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiagana na Viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali alipokuwa akiondoka nchini leo na Ujumbe wake kuelekea Nchini Uingereza kwa ziara maalum ya wiki mbili[/caption] [caption id="attachment_5752" align="aligncenter" width="750"] Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (kushoto) alipokuwa akiagana na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe, Ayoub Mohamed Mahmoud alipokuwa akiondoka chini leo akifuatana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) kuelekea Nchini Uingereza kwa ziara maalum ya wiki mbili. (Picha na Ikulu.)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi