Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Dkt. Magufuli Alipozungumza na Wananchi wa Mkoa wa Geita Wakati Akielekea Chato
Jul 05, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_5690" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpungia mkono Mama mmoja mlemavu mkazi wa Buseresere mara baada ya kumaliza kuhutubia mamia ya wakazi wa Katoro na Buseresere waliojitokeza pembezoni mwa barabara katika eneo hilo kumsalimia wakati akielekea Chato Mkoani Geita jana jioni.[/caption] [caption id="attachment_5701" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Bwanga njia panda ya kuelekea Makao makuu ya Wilaya ya Chato jana jioni.[/caption] [caption id="attachment_5707" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Katoro na Buseresere mara baada ya kusimama wakati akielekea Chato mkoani Geita.[/caption] [caption id="attachment_5709" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Geita mjini wakati akielekea Chato.[/caption] [caption id="attachment_5713" align="aligncenter" width="750"] Wananchi wa Geita waliokuwa na Shauku ya kumuona Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakiwa wamepanda juu ya magari pembezoni mwa barabara ya Usagara-Sengerema-Geita jana jioni.[/caption] [caption id="attachment_5716" align="aligncenter" width="750"] Wananchi wa Geita waliokuwa na Shauku ya kumuona Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakiwa wamepanda juu ya magari pembezoni mwa barabara ya Usagara-Sengerema-Geita jana jioni.[/caption] [caption id="attachment_5717" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mama Rosemary Lucas ambaye alikuwa akiwasilisha kero yake ya kuvunjiwa nyumba Sengerema mkoani Mwanza.[/caption] [caption id="attachment_5718" align="aligncenter" width="750"] Mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongela akichukua maelezo ya mama huyo Rosemary Lucas aliyevunjiwa nyumba yake Sengerema mkoani Mwanza.[/caption] [caption id="attachment_5719" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Kada wa zamani wa CHADEMA Hamis Tabasamu ambaye alikuwa akionesha Kadi yake mpya ya CCM mara baada ya kuhamia. Kadi hiyo alikabidhiwa na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza katika Wilaya ya Sengerema. (Picha na: Ikulu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi