Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan ameondoka nchini jioni ya leo kuelekea Addis Ababa, Ethiopia ambapo atahudhuria Mkutano wa 29 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU).
Katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan ameagwa na Viongozi mbalimbali wa Serikali.
Katika Mkutano huo wa siku mbili kuanzia tarehe 03-hadi 04 Julai-2017, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan atamuwakilisha Rais...
Read More