Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Watanzania Kuachana na Nguo za Mitumba-Majaliwa
Jul 16, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_6728" align="aligncenter" width="750"] PMO 3030 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akingalia mitambo ya kutengeneza Nguo katika Kiwanda cha NIDA kilichopo Jijini Dar es salaam. Waziri Mkuu alifanya ziara katika kiwanda hicho Jumamosi 15 july 2017 kushoto anaye toa maelezo ni Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha kutengeneza Nguo cha NIDA Bwana Muhammadhamza Rafiki na kushoto ni Meneja Mkuu wa Kiwanda cha NIDA Bwana Muhammad Waseem[/caption] [caption id="attachment_6731" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katikati akionyeshwa Ubora wa Kanga zinazo tengenezwa hapa nchini katika kiwanda cha NIDA wakati alipofanya ziara Jumamosi 15 july 2017 katika kiwanda hicho kilichopo Jijini Dar es salaam wanao muonyesha kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha kutengeneza Nguo cha NIDA Bwana Muhammadhamza Rafiki na kushoto ni Meneja Mkuu wa Kiwanda cha NIDA Bwana Muhammad Waseem. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi