Tarehe 19 Julai, 2021, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, aliwaelekeza Waheshimiwa Waziri wa Fedha na Mipango, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba na Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Dkt. Faustine Ndugulile kupitia upya tozo za miamala ya simu baada ya kusikia kilio cha wananchi kuhusu tozo hizo.
Katika kutekeleza Maelekezo hayo, leo tarehe 31 Agosti, 2021, Waziri wa Fedha na Mipango, Mheshimiwa Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), ametia saini marekebisho ya Kanuni za Tozo za Miamala ya K...
Read More