Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akizungumza na Balozi wa Canada nchini Tanzania, Pamela O’Donell (kulia), wakati balozi huyo alipofika kwa mazungumzo leo, ofisi ya wizara jijini Dodoma
Balozi wa Canada nchini Tanzania, Pamela O’Donell (kulia), akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene wakati balozi huyo alipofika kwa mazungumzo leo, ofisi ya wizara jijini Dodoma.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Canada nchini Tanzania, Pame...
Read More