Balozi wa Canada nchini Tanzania, Pamela O’Donell (kulia), akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene wakati balozi huyo alipofika kwa mazungumzo leo, ofisi ya wizara jijini Dodoma.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Canada nchini Tanzania, Pamela O’Donell (kulia), baada ya kumaliza mazungumzo leo, ofisi ya Wizara jijini Dodoma
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Canada nchini Tanzania, Pamela O’Donell (wanne kulia) baada ya kumaliza mazungumzo leo, ofisi ya Wizara jijini Dodoma.Wengine ni wasaidizi wa Balozi na Maofisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi