Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua marumaru zilizowekwa kwenye Wodi ya Wazazi katika Hospitali ya Wilaya ya Karagwe na baada ya kutoridhishwa na ubora wake aliamuru ziondolewe na ziwekwe nyingine zenye viwango vinavyofanana na pesa iliyotolewa na Serikali. Alikuwa katika ziara ya kikazi mkoani Kagera Septemba 19, 2021.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Karagwe baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wake akiwa katika ziara ya kikazi Mkoa wa Kagera, Septemba 19, 2021. Kushoto ni Naibu Waziri TAMISEMI...
Read More