Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk kabla ya kuondoka kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mkoani Dar es salaam ambako atamwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kwenye mazishi ya kitaifa ya Waziri Mkuu mstaafu wa nchi hiyo, Bw. Shinzo Abe Kushoto ni mkewe, Mary Majaliwa na wa pili kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Kheri James.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameondoka nchini leo (Jumamosi, Septemba 24, 2022) kwenda Tokyo,...
Read More