Rais Dkt. Mwinyi Aelekea Jijini Dodoma Kuhudhuria Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa
Sep 24, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakisalimiana na Viongozi wa Serikali na Wazee wa CCM Zanzibar katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akielekea Mkoani Dodoma kuhudhuria Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa.