Rais Dkt. Mwinyi Akutana na Kuzungumza na Viongozi wa Pan African Youth Union
Sep 26, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Uongozi wa “Pan African Youth Union “ kutoka nchi tafauti walipofika Ikulu jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu tarehe 24-9-2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuagana na Uongozi wa “Pan African Youth Union” kutoka nchi tafauti, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar tarehe 24-9-2022.