Rais Dkt. Mwinyi Akutana na Kuzungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Afro - Asian Union Kutoka Misri
Sep 24, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiagana na Rais wa Taasisi ya Afro - Asian Union (AFASU) kutoka nchini Misri, Dkt. Hossam Darwish baada ya kumaliza mazungumzo na Ujumbe huo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo tarehe 24-9-2022.