Muonekano wa tangi la maji katika Mradi wa Maji Kemondo wilayani Bukoba , Mhe. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alikagua maendeleo ya ujenzi wa mradi huo, Septemba 20, 2021
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua tangi la maji katika Mradi wa Maji wa Kemondo wilayani Kigoma, Septemba 20, 2021. Wa pili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Meja Jenerali Charles Mbuge.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakiongozwa na Mganga Mkuu wa wilaya ya Bukoba, Dkt. Bandioh Gavyole (kulia) kukagua maendeleo ya Mradi wa ujenzi wa Hospita...
Read More