Majaliwa Akagua Mradi wa Maji wa Kemondo, Hospitali ya Wilaya ya Bukoba
Sep 21, 2021
Na
Jacquiline Mrisho
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua tangi la maji katika Mradi wa Maji wa Kemondo wilayani Kigoma, Septemba 20, 2021. Wa pili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Meja Jenerali Charles Mbuge.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakiongozwa na Mganga Mkuu wa wilaya ya Bukoba, Dkt. Bandioh Gavyole (kulia) kukagua maendeleo ya Mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Bukoba mkoani Kagera, Septemba 21, 2021.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa hospitali ya wilaya ya Bukoba akiwa katika ziara ya Mkoa wa Kagera, Septemba 21, 2021. Wa tatu Kulia ni Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa na wa nne kushoto ni Mganga Mkuu wa wilaya ya Bukoba, Dkt. Bandioh Gavyole