Imeelezwa kuwa, zaidi ya shilingi bilioni 179 zilizotolewa na Wadau wa Maendeleo kama vile nchi za Norway, Sweden, Jumuiya ya Umoja wa Ulaya (EU) na Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD) zinatarajia kutumika katika mradi wa usambazaji umeme wa ujazilizi ambapo vitongoji zaidi ya 1103 vinatarajia kufaidika katika mikoaTisa nchini.
Hayo yalielezwa na Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu, Septemba 18, mwaka huu wakati alipokuwa akizungumza na wananchi wa kijiji cha Mwamanenge, Wilaya ya Maswa, Mkoa wa Simiyu kabda hajawasha umeme.
Mikoa ita...
Read More