Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Waziri Mkuu Majaliwa Afungua Mkutano wa 21 wa Wakuu wa Polisi wa Nchi za Mashariki mwa Afrika Jijini Arusha
Sep 19, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_47081" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akihutubia kwenye ufunguzi wa Mkutano wa 21 wa Wakuu wa Polisi wa Nchi za Mashariki mwa Afrika (EAPCCO), katika ukumbi wa AICC Arusha[/caption] [caption id="attachment_47078" align="aligncenter" width="750"] Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, Simon Sirro, akikabidhiwa bendera ya Wenyekiti wa Shirikisho la Wakuu wa Polisi wa Nchi za Mashariki mwa Afrika (EAPCCO) kutoka wa Mwenyekiti aliyemaliza muda wake, Mkuu wa Jeshi la Polisi Sudan, Abdi Mohammed Bashir, kwenye ufunguzi wa Mkutano wa 21 wa Wakuu wa Polisi wa nchi hizo, katika ukumbi wa AICC Arusha,[/caption] [caption id="attachment_47079" align="aligncenter" width="750"] Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, Simon Sirro, akipeperusha bendera ya Wenyekiti wa Shirikisho la Wakuu wa Polisi wa Nchi za Mashariki mwa Afrika (EAPCCO), baada ya kukabidhiwa Uenyekiti huo na Mwenyekiti aliyemaliza muda wake, Mkuu wa Jeshi la Polisi Sudan, Abdi Mohammed Bashir, kwenye ufunguzi wa Mkutano wa 21 wa Wakuu wa Polisi wa nchi hizo, katika ukumbi wa mikutano wa AICC Arusha.[/caption] [caption id="attachment_47080" align="aligncenter" width="750"] Mkuu wa Jeshi la Polisi Sudan, Abdi Mohammed Bashir na Mwenyekiti wa Shirikisho la Wakuu wa Polisi wa Nchi za Mashariki mwa Afrika (EAPCCO) aliyemaliza muda wake, akizungumza, kwenye ufunguzi wa Mkutano wa 21 wa Wakuu wa Polisi wa Nchi za Mashariki mwa Afrika (EAPCCO), katika ukumbi wa AICC Arusha,[/caption] [caption id="attachment_47082" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akipeana mkono na Mkuu wa Jeshi la Polisi la Kongo DRC, kwenye ufunguzi wa Mkutano wa 21 wa Wakuu wa Polisi wa Nchi za Mashariki mwa Afrika (EAPCCO), uliyofanyika katika ukumbi wa AICC Arusha,[/caption] [caption id="attachment_47083" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akipeana mkono na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, Simon Sirro, baada ya kutoka kwenye ukumbi wa AICC Arusha, katika ufunguzi wa Mkutano wa 21 wa Wakuu wa Polisi wa Nchi za Mashariki mwa Afrika (EAPCCO) Septemba 19.2019[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi