Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Dkt. Shein Akutana na Rais Wa Muungano wa Visiwa vya Commoro
Sep 19, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_47074" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Ali Mohamed Shein,  akisalimiana na mgeni wake Rais wa Muungano wa Visiwa vya Comoro, Mhe. Azali Assoumani wakati alipomtembelea leo Ikulu mjini Zanzibar.[/caption] [caption id="attachment_47075" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Ali Mohamed Shein  akizungumza na mgeni wake Rais wa Muungano wa Visiwa vya Comoro, Mhe. Azali Assoumani wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kusalimiana.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi