[caption id="attachment_11368" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Ardhi, Nymba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi (Picha na Mtandao)[/caption]
Na: Jonas Kamaleki
Mabenki na Taasisi nyingine za fedha zimetakiwa kuandika mikataba yake kwaa wateja kwa lugha rahisi na ya Kiswahili ili kuepusha usumbufu wanoupata wakopaji bila kujua masharti ya mikopo.
Wito huo umetolewa leo jijini Dar es Salaam na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. William Lukuvi alipokuwa akizungumza katika kikao kazi cha kubaini na kutatua ch...
Read More