[caption id="attachment_11395" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiwasalimia watoto mbali mbali waliohudhuria katika Swala ya EId El Hajj iliyoswaliwa leo katika Uwanja wa Mpira wa Dimani Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, (Picha na Ikulu)[/caption]