Kaimu Meneja wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), Mkoa wa Arusha, Mhandisi. Juma Dandi, akitoa taarifa ya mradi wa ujenzi wa jengo la makazi na biashara kwa Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya, wakati alipofanya ziara ya ukaguzi wa miradi inayoendelea ya Wakala huo, jijini Arusha.
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi. Godfrey Kasekenya, ameuagiza Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) kukamilisha mradi wa ujenzi wa jengo la makazi na biashara linalojengwa na wakala huo mkoani Arusha haraka iwezekanavyo ili l...
Read More