Na: Mwandishi Wetu, MAELEZO, Beijing-CHINA
RAIS wa Jamhuri ya Watu wa China Xi Jinping amesema, Serikali ya nchi hiyo ipo tayari kushirikiana na Afrika katika maeneo makubwa  nane katika kipindi cha  miaka mitatu ijayo itayojikita katika masuala ya viwanda, miundombinu, biashara, kilimo, ulinzi na usalama pamoja na mazingira.
Akifungua Mkutano wa Tatu wa Jukwaa la Ushirikiano wa China na Bara la Afrika (FOCAC) leo Beijing China na Rais Xi Jinping ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jukwaa hilo amesema katika masuala ya viwanda, uchumi wa Bara la Afri...   
                                                                  Read More