Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Majaliwa Ashiriki Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano Kati ya China na Afrika Ulioanza Jijini Beijing
Sep 03, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_34750" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Xi Jinping katika Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano Kati ya China na Afrika uliofunguliwa na Rais huyo kwenye ukumbi wa Great Hall of the People uliopo Beijing, Septemba 3, 2018. Mheshimwa Majaliwa amemwakilisha Rais, Dkt. John Pombe Magufuli katika mkutano huo. [/caption] [caption id="attachment_34751" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Wakuu wa Afrika na China baada ya Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Xi Jinping kufungua Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano Kati ya Tanzania na China Kwenye ukumbi wa Mikutano wa Great Hall of the People uliopo Beijing, Septemba 3, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi