Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Global Fund, Bw. Peter Sands ambaye aliambatana na Ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam 06 Septemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mtendaji Mkuu wa Global Fund, Bw. Peter Sands mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam 06 Septemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Mtendaji Mkuu wa Globa...
Read More