Rais Samia Aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu Jijini Dar es Salaam
Sep 06, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Septemba, 2022.